Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MUNGU NI MKUBWA" ndilo neno lililotoka kwenye vinywa vya watu wengi baada ya kupata habari kuhusu tukio hili. Mwaka 2019, Madaktari wa kituo cha matibabu cha Federal Medical Centre, Owerri, Nigeria walifanikiwa kuokoa maisha ya mwanaume mwenye umri wa miaka 35, Fundi ujenzi ambae alianguka kutoka juu ya ghorofa hadi chini na kuangukia kwenye nyundo iliyozama shingoni mwake na kutokea upande wa pili,
 
Kuanzia miaka ya 1900's katika nchi za kiyaudi kuna aina ya ndoa zilianzishwa zinazoitwa shvartse khasene (Black Weddings). Ndoa hizi hufungwa na watu ambao wazazi wao wamefariki. Kama mzazi au wazazi wako walifariki, ndoa yako inaenda kufungiwa makaburini huko huko ambapo wazazi wako walipozikwa. Walikua wanafanya hivi kama njia ya kuomba msaada kutoka kwa wafu katika kumaliza majanga yaliyokua yanawakumba.
 
1616304230073.jpeg
 
Real Madrid na Barcelona zote ziko tayari kupambana na Manchester City, Manchester United na Chelsea kwa saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland, 20. (AS - kwa Kihispania)
 
Back
Top Bottom