Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Paris St-Germain wako tayari kumpa mshambuliaji Mfaransa Kylian Mbappe, 22, kandarasi mpya ya euro 30m (Pauni 25.8m) ili kuzizuia Real Madrid na Liverpool kumsajili . (L'Equipe via Mirror)Mshambuliaji wa Manchester City na Argentina Sergio Aguero, 32, na kiungo wa kati wa Liverpool Mholanzi Georginio Wijnaldum, 30, wako kwenye orodha fupi ya Barcelona ya wachezaji wanaolengwa kusajiliwa katika uhamisho wa majira ya kiangazi. (AS kupitia Sport Witness)
 
Juventus wanaendelea kufuatilia hali ya kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba, huku mkataba wa Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 28 ukikamilika mnamo Juni 2022. (Calciomercato - kwa Kiitaliano)
 
Mashetani Wekundu bado hawajatoa ofa ya mkataba rasmi kwa Pogba licha ya kufanya mazungumzo juu ya hatma yake huko Old Trafford. Itaigharimu Tottenham £ 25m ikiwa watamtimua meneja Jose Mourinho.(Mirror)

Mourinho atafutwa kazi na Spurs ikiwa watashindwa kufuzu kwa mashindano ya ubingwa wa Ulaya msimu huu, na bosi wa RB Leipzig, Julian Nagelsmann na kocha wa Leicester Brendan Rodgers wakitajwakama wawaniaji walio katikamstari wa mbele kuichukua nafasi yake .
 
Tottenham hawako tayari kulipa kifungu cha ununuzi cha Carlos Vinicius cha pauni milioni 36 lakini watatoa pauni milioni 17 ili kufanya uhamisho wake wa mkopo wa kutoka Benfica kuwa wa kudumu. (Mail)
 
Mlinzi wa Ivory Coast Eric Bailly, 26, atakataa kandarasi mpya huko Manchester United baada ya kuachwa nje ya kikosi kilishosajili ushindi dhidi ya AC milan katika mchuano wa kombe la Europa League siku ya alhamisi (Sun)
 
Mlinda lango wa Sweden Robin Olsen, 31, huenda hataongeza muda wake wa mkopo na Everton mwishoni mwa msimu huu baada ya yeye na familia yake kutishwa kwa panga katika uvamizi ulifanywa nyumbani kwao mapema mwezi huu (Mail
 
Barcelona itampa mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 33, kandarasi ya maisha msimu huu wa joto kwa nia ya kumuweka klabuni humo lakini imtake akubali kupunguzwa mshahara.(Mundo Deportivo - kwa Kihispania
 
Napoli inavutiwa na beki wa kushoto wa Liverpool Mgiriki Kostas Tsimikas, 24, ambaye amecheza mara sita tu tangu ajiunge nao msimu uliopita wa joto. (Corriere dello Sport via Sport Witness)


Liverpool na Tottenham zote zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Marekani Matthew Hoppe, 20, kutoka Schalke. (Transfermarkt - in German
 
Bosi wa Brighton Graham Potter anasema ataketi mwishoni mwa msimu na Danny Welbeck, 30, kuzungumzia juu ya mkataba wa mshambuliaji huyo wa zamani wa England. (Brighton and Hove Independent)


Bosi wa zamani wa Juventus Massimiliano Allegri anazingatiwa na Napoli kama anayeweza kuiziba nafasi ya Gennaro Gattuso (Calciomercato - in Italian)
 
Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya Raymond Kulaya (44) na Magreth Silaeli (37), huku Kulaya akiahidi kushiriki ndoa ya mtalaka wake inayotarajiwa kufungwa Novemba mwaka huu.
 
Akizungumza mahakamani hapo, Kulaya alisema uamuzi uliotolewa wa kuvunja ndoa ameukubali na anatarajia kuhudhuria kwenye ndoa ya Magreth atakayofunga na mwanamume aliyezaa naye watoto wanne.
 
Mimi hadi sasa hivi sijaoa na nimezaa watoto watatu na mwanamke mwingine ambaye tumeachana kwa matatizo, hivyo nipo ‘single’ na nitahudhuria kwenye ndoa ya Magreth inayotarajiwa kufungwa Novemba,” alisema Kulaya.
 
“Mimi na Kulaya tunawasiliana vizuri hatuna tatizo, haya ni makubaliano yetu kila mmoja, baada ya kuachana mwaka 2011 aliishi kivyake, nimefurahi sana,” alisema Magreth.
 
Back
Top Bottom