Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Happy birthday
El Nino
FB_IMG_1616267081324.jpg
 
Hukuwezesha kujenga hoja

“Fikiri kabla ya kuzungumza. Soma kabla ya kufikiri.”Fran Lebowitz


Ni ukweli usiopingika kuwa Fran Lebowitz alifahamu wazi kuwa huwezi kuzungumza kabla ya kufikiri na huwezi kufikiri kabla ya kusoma. Kusoma kunakupa uwezo wa kufikiri na kujenga hoja zenye nguvu.Ikiwa unataka kuzungumza ili watu wakuamini na wakusikilize, basi soma vitabu kila mara.
Watu wengi wameacha tabia ya kujisomea maana sasa wako busy na udaku
 
Back
Top Bottom