Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ukumbusho
Upo Numby, mzima wewe?Kwa wengi Ugali unaliwa kwa maziwa mgando so ni maziwa mgando.
Anyway usiishi kwa utafiti mkuu sio kila utafiti unafaa
Mie mzima Ninge, hofu juu yako.?!The Happiness habari yako TH? U mzima wewe? Jumapili yako iko vipi hapo?
Sijambo pia TH,Mie mzima Ninge, hofu juu yako.?!
Jumapili inaenda kinyonge, tupo taifa tunaaga msiba ndugu
Nipo bwana jezi,mzima wewe?Upo Numby, mzima wewe?
Haha hilo jina, limenikumbusha kipind nipo mgeni kwenye huu uzi, hakika palipendeza sana enzi za Shiro[emoji2]Nipo bwana jezi,mzima wewe?
Habari za siku bro.Hakika hapa duniani tupo kwa muda tu, na kwake tutarejea... Nenda salama jemedari JPM!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Salama kabsa bro, habari za kwako? Familia haijambo bro?Habari za siku bro.
Poleni sana na msiba ndugu zangu
Huku kwema broSalama kabsa bro, habari za kwako? Familia haijambo bro?
Asante bro, pole na wewe pia