BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Sijaelewa hapo amesema ni ward robe of africa?? Ni edited kwa kichekesho au ndio alivyotafsiri?
MK254, mataga rasmi wameonyesha elimu yao wanayotupa bure, hebu ipimeni, muidadavue na kuichekecha.
Watamuelewa wachache Sana huyo jamaa lakin alikuwa sahihi kwa wakati huoKuna Nini huko WISTAZ CHATEL LODGE mkalimani nimemsikia kwa ubunifu hajambo.