Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watamuelewa wachache Sana huyo jamaa lakin alikuwa sahihi kwa wakati huo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
uko sahihi kwa wengi hawataelewa lakini kwa hakika jamaa yuko makini na ni mzalendo na anastahili sifa kwa kuwa na kichwa cha haraka kufiri hapa niweke neno gani nimempenda na kwa nyepesi tu jamaa anazungumza zaidi ya lugha 50 sifa ya protocol officer ndio hiyo .
 
Huyo jamaa angetofasili(sijui kama niki sahihi) hayo maneno moja kwa moja yasingeleta mtazamo positive kwa umma maana yalikuwa yazungumzia kuwa hayati hakupenda kusafr alipenda kukaa na wananchi wake hivyo isingeleta picha nzur mbele ya umma

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mda ukisoma maoni ya watu unashangaa chuki waliyonayo kwa wengine. Maisha yako hayaamuliwi na Mtu mwingine ni wewe na Mungu wako vile ulivyomshika ndivyo inaamua vile uwe.
 
Muda mwingine uwe unawaza kwa weledi! Kwa upeo Elimu bure imeanza tolewa lini na JPM mpaka ufike mahala uamini mkalimani amepitia elimu bure na hayo ndiyo matokeo yake?! We jamaa sometimes una aibisha sana watu toka mbeya!
Usichukulie siriaz watu wanatania na kujifurahisha, ujue ccm na upinzani ni watsni wa jadi...relax man
 
Mkakalimani amenikumbusha zamani sana ile ya kutafsiri direct kwamba yeye ni Living stone yaani Jiwe linaloishi ,ametokea New york - Ametoka kwenye Kiini kipya cha yai.
kuna ingine mzzngumzaji alisema kiswahili Juma Kazimia

mkalimani akawa anatasiri neno moja moja Juma akatasiri Week na neno Kazimia akaligawa mara mbili Kazi peke yake na mia peke yake akaona neno la kufaa la kazi ni Job halafu mia akaona ni hundred kwa hiyo akatafsri ya Juma kazimia yeye akasema Week Job hundred
 
Muda mwingine uwe unawaza kwa weledi! Kwa upeo Elimu bure imeanza tolewa lini na JPM mpaka ufike mahala uamini mkalimani amepitia elimu bure na hayo ndiyo matokeo yake?! We jamaa sometimes una aibisha sana watu toka mbeya!
Hamna weledi kwenye utani wa jadi. Wao wana dola, sisi tuna midomo.
Ukiona nakuaibisha, bofya kitufe cha igore hutopata aibu za nabii na mtume Bujibuji.
SOKAPO APA, aseeeeee
 
kuna ingine mzzngumzaji alisema kiswahili Juma Kazimia

mkalimani akawa anatasiri neno moja moja Juma akatatasiri Week na neno Kazimia akaligawa mara mbili Kazi peke yake na mia peke yake akaona neno la kufaa la kazi ni Job halafu mia akaona ni hundred kwa hiyo akatafsri ya Juma kazimia yeye akasema Week Job hundred
Hahaha "Katelephone don't smoke my river" .........
 
Back
Top Bottom