uko sahihi kwa wengi hawataelewa lakini kwa hakika jamaa yuko makini na ni mzalendo na anastahili sifa kwa kuwa na kichwa cha haraka kufiri hapa niweke neno gani nimempenda na kwa nyepesi tu jamaa anazungumza zaidi ya lugha 50 sifa ya protocol officer ndio hiyo .Watamuelewa wachache Sana huyo jamaa lakin alikuwa sahihi kwa wakati huo
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Watu wanaongea kwa mihemko tu, elimu bure si imeanza juzi tuMuda mwingine uwe unawaza kwa weledi! Kwa upeo Elimu bure imeanza tolewa lini na JPM mpaka ufike mahala uamini mkalimani amepitia elimu bure na hayo ndiyo matokeo yake?! We jamaa sometimes una aibisha sana watu toka mbeya!
Huyo jamaa angetofasili(sijui kama niki sahihi) hayo maneno moja kwa moja yasingeleta mtazamo positive kwa umma maana yalikuwa yazungumzia kuwa hayati hakupenda kusafr alipenda kukaa na wananchi wake hivyo isingeleta picha nzur mbele ya ummauko sahihi kwa wengi hawataelewa lakini kwa hakika jamaa yuko makini na ni mzalendo na anastahili sifa kwa kuwa na kichwa cha haraka kufiri hapa niweke neno gani nimempenda na kwa nyepesi tu jamaa anazungumza zaidi ya lugha 50 sifa ya protocol officer ndio hiyo .
Kuwa uyaoneKuna Mda ukisoma maoni ya watu unashangaa chuki waliyonayo kwa wengine. Maisha yako hayaamuliwi na Mtu mwingine ni wewe na Mungu wako vile ulivyomshika ndivyo inaamua vile uwe.
Mi nimesikia “in every cabinet of Africa”Sijaelewa hapo amesema ni ward robe of africa?? Ni edited kwa kichekesho au ndio alivyotafsiri?
Mkakalimani amenikumbusha zamani sana ile ya kutafsiri direct kwamba yeye ni Living stone yaani Jiwe linaloishi ,ametokea New york - Ametoka kwenye Kiini kipya cha yai.May his name be preserved in every Capital of Africa as a symbol of the kind of resolve that will create the Africa we want.
Ni nini maana yake?Tupeni maana ili neno lenu lilete maanaWistaz CHATEL LODGE
Usichukulie siriaz watu wanatania na kujifurahisha, ujue ccm na upinzani ni watsni wa jadi...relax manMuda mwingine uwe unawaza kwa weledi! Kwa upeo Elimu bure imeanza tolewa lini na JPM mpaka ufike mahala uamini mkalimani amepitia elimu bure na hayo ndiyo matokeo yake?! We jamaa sometimes una aibisha sana watu toka mbeya!
Acha watu wajifurahishe wasahau taabu zao mkuu...ni utani tuWatu wanaongea kwa mihemko tu, elimu bure si imeanza juzi tu
kuna ingine mzzngumzaji alisema kiswahili Juma KazimiaMkakalimani amenikumbusha zamani sana ile ya kutafsiri direct kwamba yeye ni Living stone yaani Jiwe linaloishi ,ametokea New york - Ametoka kwenye Kiini kipya cha yai.
Jameni acheni mzaha, labda kama mumefanya editing bana....hehehe nimecheka sana.
Hamna weledi kwenye utani wa jadi. Wao wana dola, sisi tuna midomo.Muda mwingine uwe unawaza kwa weledi! Kwa upeo Elimu bure imeanza tolewa lini na JPM mpaka ufike mahala uamini mkalimani amepitia elimu bure na hayo ndiyo matokeo yake?! We jamaa sometimes una aibisha sana watu toka mbeya!
Hahaha "Katelephone don't smoke my river" .........kuna ingine mzzngumzaji alisema kiswahili Juma Kazimia
mkalimani akawa anatasiri neno moja moja Juma akatatasiri Week na neno Kazimia akaligawa mara mbili Kazi peke yake na mia peke yake akaona neno la kufaa la kazi ni Job halafu mia akaona ni hundred kwa hiyo akatafsri ya Juma kazimia yeye akasema Week Job hundred
Hahaha "Katelephone don't smoke my river" .........