BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mungu ambariki na kumzidishia Mara elfuuuuu
Aisee....sawasawa!!!!Kuna uzi nyingine zinatakiwa zifutwe
Bongo movie wa level za Flyover...[emoji57][emoji57][emoji57]
Ni lecturer pale Dar es salaam Marine Institute nenda tu utamkuta. Ni msomi na mkalimani mbobevu wa kimataifa wa Kiswahili, Kiingereza na Kifaransa.Mwenye namba na mkalimani wa jana anisaidie