Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Mungu wetu anatukanwa hadharani jamii imekaa kimyaa kabisa.
Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi?"--
Haji ManaraView attachment 1730801
wengi tumekerekwa na maneno ya afande sele juu ya muumba wetu, lakini wengi tunamtukana huyu MUNGU kwa matendo yetu, tena yaweza kuwa zaidi ya maneno ya afande.
Simuungi mkono afande sele ila tujitafakari sote( ondoa boliti jichoni pako kisha ukatoe la nduguyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…