Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na wazee pia. Afadhali !
Na kitumbua lazima kiumuke. Tena ukipate bado hakijapoa kina joto joto bado na mafuta mafuta uwiii ![emoji39][emoji39][emoji39]Usiku wa vitumbuaView attachment 1732868
Dah..
TayariPicha ya mzee inatolewa saa ngapi ukutani?!
[emoji120][emoji120]Wakulima woote poleni sana..
[emoji120][emoji120]Wagonjwa wote Mungu awaponye [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Hao wanajitambuaWakazi wa Mbeerre kusini nchini Kenya, wamemfukuza kwa mawe mbunge wao Geoffrey King'ang'i baada kushindwa kutimiza ahadi alizowaahidi.
View attachment 1733426
Haha haahahaMbunge akipopolewaView attachment 1733429
πππJamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment
Mbona kipo?JF waweke na kitufe cha "dislike"