Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Mie huwa natumia simu. Simple sana kuangalia au kudownload kwa kutumia ucmini browserPopote mlipo Daemusin, The Happiness, Numbisa na Nigendako naombeni msaada wa kuipata drama ya Kichina iitwayo Crazy neighbors. Ndoa yangu inatetereka,shangazi yenu kanuna.
Mungu awatangulie muweze kunisaidia hili jambo
Ngoja niisake zaidi uncleAnko ahsante kwa kuniongezea nyingine. Yeye ana shida na hii ya hao wajinga wawili
Kila nikipekua siioni popoteView attachment 1733592
Ahsante mama yangu. Uzidi kubarikiwaTatizo sijawahi kuiona nimepata mbili
Watch Dear Mayang Street (2020) (2020) Episodes ENG SUB | Dramacool Chinese Drama kuna hii
Ngoja niisake zaidi uncle
Ahsante mama yangu. Uzidi kubarikiwa
Usiku wa vitumbuaView attachment 1732868
Wakazi wa Mbeere kusini nchini Kenya, wamemfukuza kwa mawe mbunge wao Geoffrey King'ang'i baada kushindwa kutimiza ahadi alizowaahidi.
View attachment 1733426
Hata wangeliua tu ni sawa [emoji51][emoji51][emoji51]Mbunge akipopolewaView attachment 1733429
Hilo ni trela tu. Muvi bado inakuja. Bila kutoa mahari timilifu, hutakaa uwe na ndoa tulivu. Nefaaaaaaa !!!Popote mlipo Daemusin, The Happiness, Numbisa na Nigendako naombeni msaada wa kuipata drama ya Kichina iitwayo Crazy neighbors. Ndoa yangu inatetereka,shangazi yenu kanuna.
Mungu awatangulie muweze kunisaidia hili jambo