Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1616634265747.jpeg
 
Hilo ni trela tu. Muvi bado inakuja. Bila kutoa mahari timilifu, hutakaa uwe na ndoa tulivu. Nefaaaaaaa !!!
"Nefaaaa" [emoji3][emoji3][emoji3]
Hii laana uliyo niangushia ifikie pahali shemeji, inanitesa.

Yaani mdogo wako anaulumu ezi ifu mimi ndiye prodyuza wa hiyo drama... "mbona Anko zako nawaonaga wanaongelea series za Kikorea, kwanini usiwambie..."

Kachafukwa Msukuma [emoji3][emoji3][emoji3]

Uwe na siku njema shemeji [emoji120]
 
Back
Top Bottom