Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa kuna wakati huwa anatabasamu kama tulivyo binadamu wengine.



Nadhani anastahili kupandishwa cheo sasa.
FB_IMG_1616530359251.jpg
 
Popote mlipo Daemusin, The Happiness, Numbisa na Nigendako naombeni msaada wa kuipata drama ya Kichina iitwayo Crazy neighbors. Ndoa yangu inatetereka,shangazi yenu kanuna.

Mungu awatangulie muweze kunisaidia hili jambo
Duh.. Sa kama kanuna ukimwekea ataangalia?!!

Acha kulialia.. mpe shoo ya maana!
 
Tafiti: Wazaliwa wa mwisho kwenye familia huwa na tabia ya kuwa wabunifu na hupenda kujitegemea zaidi kwa mambo mengi wanayofanya. Sababu mojawapo inayotajwa ni kutokana na kupewa uangalizi mdogo zaidi kimakuzi na wazazi tofauti na wazaliwa wengine kama wa kwanza.
 
Zoezi la kukimbia na Pumzi (Aerobic) husisimua sehemu ya ubongo inayoitwa "Hippocampus" sehemu muhimu inayohusika na utunzaji wa kumbukumbu na kujifunza. Hivyo mazoezi ya kukimbia na pumzi husaidia kuboresha uwezo wa akili, Utulivu wa akili na zaidi kuimarisha uwezo wa kujifunza.
 
Back
Top Bottom