Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kukumbatiana husaidia ubongo kupumzika, Kujenga kumbukumbu na kupunguza stress na hivyo huongeza iwe rahisi kusinzia kwa watu wanaolala pamoja
AiseeUkiweza kunywa glasi/bilauri ya maji badala ya chupa ya soda unaweza epuka kalori 150 zisizo za lazima na kukusaidia kupunguza uzito hadi kilo 7 kwa mwaka bila ya kufanya mazoezi.