Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ISAAC LUGONZO MALIYAMUNGU fagio la chuma lililosafisha kila aina ya uchafu usiompendeza Binamu yake IDD AMIN DADA. Avunja ghala la silaha Lubiri, Kampala na kukomba silaha zote na baadae awaongoza wanajeshi waasi na kuipindua serikali ya Obotte...
 
Siyo habari au matukio mabaya tu ndiyo yanaweza kuleta athari kwenye afya ya mtu,hata kusababisha kifo. Habari nzuri pia zinaweza kusababisha mshituko wa moyo,hasa zinapotolewa kwa kushitukiza
 
Momcilo Gavric Raia wa Yugoslavia Ndiye Alikuwa Mwanajeshi Mdogo Zaidi Kuingia Vitani Katika Vita ya Kwanza ya Dunia, Aliingia Vitani Mwaka 1914 Akiwa na Umri wa Miaka 8 Pekee. Alizaliwa Mwaka 1906 na Kufariki Mwaka 1993 Akiwa na Umri wa Miaka 87. Vita Ilipigwa Mwaka 1914-18.
 
Kevin David Mitnick.Mwaka 1981 alishtakiwa kwa kuiba kitabu cha maelekezo ya uendeshaji wa Kompyuta kutoka kampuni ya Pacific Bell. Mwaka uliofuata 1982 alidukua kitengo cha amri za kijeshi cha Amerika ya kaskazini (NORAD), tukio lililoigizwa kwenye filamu ya mwaka.....
 
Dkt. MICHAEL SWANGO, M.D.Tangu utotoni, Swango alionesha kuvutiwa na vifo vya kinyama na maangamizi ya watu wengi kwa wakati mmoja. Inasemekana alikua na kabati la vitabu vyenye picha za kutisha za Maiti za watu kwenye ajali za magari. Anafanishwa na Josef Mengele
 
BOSCO NTAGANDA - The Terminator.BWANA wa VITA, alipigana chini ya RPF ya Kagame na kuiteka RWANDA kisha akaenda CONGO na kuungana na CNDP ya Nkunda kupambana na kina KABILA. Kabla ya kusalimu AMRI kwenye Mahakama ya ICC inasemekana alikuwa na waasi wa M23..
 
FB_IMG_1616796174566.jpg
 
Back
Top Bottom