myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh..Martin Laurello kutoka Ujerumani ndiye mwanadamu pekee aliyekuwa na maajabu kwenye kichwa chake kiasi cha kuwaacha wanasayansi vinywa wazi.
Martin alikuwa na uwezo wa kugeuza kichwa chake kwa nyuzi 180 na kuangalia kitu cha nyuma yake bila kugeuza mwili. "Human Owl".
🤣🤣NYEGERE
Ndie anavunja rekodi kwa wivu alishawashangaza watalii hapo Serengeti baada ya jike wake kujikwaa, alichimba shimo refu kidogo kuhakiki kama ile ilikuwa ni ajali kweli, au kuna faulo alitaka kuchezewa kwa bae
Aisee
Huku kwangu kuanzia April 1 ni free kwa wote. Huko kwako vipi? Nataka kuruka na Moderna. Wewe unaruka na ipi? Na kwa nini?Mshua hakuwa mpenzi wa haya makitu, kwa hiyo sikupata simulizi zake. [emoji16][emoji16]... Vipi huja-short circuit kupata vaccine au unasubiri fungulia wote, May?
State nyingi zitaanza kutoa kwa all ages kuanzia April. Pfizer Kwangu is a way to go, ingawa hata Moderna ni nzuri pia. Efficacy ya Pfizer against Symptomatic disease ni 95% wakati Moderna ni 94% na; Efficacy Against Asymptomatic disease kwa Pfizer ni 90% wakati Moderna ni 66% pamoja na hayo yoyote utakayo pata ni bora kuliko kutokuwa nayo.Huku kwangu kuanzia April 1 ni free kwa wote. Huko kwako vipi? Nataka kuruka na Moderna. Wewe unaruka na ipi? Na kwa nini?
Aisee. Pengine nihamie huko Pfizer japo naogopa "ukali" wake. Nategemea kwenda kula michembe na matobolwa Juni au Julai hivyo lazima nipate mojawapo kati ya hizi.State nyingi zitaanza kutoa kwa all ages kuanzia April. Pfizer Kwangu is a way to go, ingawa hata Moderna ni nzuri pia. Efficacy ya Pfizer against Symptomatic disease ni 95% wakati Moderna ni 94% na; Efficacy Against Asymptomatic disease kwa Pfizer ni 90% wakati Moderna ni 66% pamoja na hayo yoyote utakayo pata ni bora kuliko kutokuwa nayo.
Hahaa, ukali wake ni kama wa Flu shot kama ulishachukua, kwa wale ambao wameshapata wanavyoelezea. Sore arm tu kidogo basi. J&J watu wanaikataa, eti wanawategeshea minority tu. 😁 😁Aisee. Pengine nihamie huko Pfizer japo naogopa "ukali" wake. Nategemea kwenda kula michembe na matobolwa Juni au Julai hivyo lazima nipate mojawapo kati ya hizi.
Johnson and Johnson yenyewe unaionaje?
Aisee. Gavana wetu ameikataa kabisa hiyo ya Johnson na hakusema ni kwa nini. Wengi walidhani pengine ni kwa kuwa efficacy yake ni ndogo. Kumbe kuna mauzauza mengine.Hahaa, ukali wake ni kama wa Flu shot kama ulishachukua, kwa wale ambao wameshapata wanavyoelezea. Sore arm tu kidogo basi. J&J watu wanaikataa, eti wanawategeshea minority tu. [emoji16] [emoji16]