Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,414
Atafukiwa kabisahv huyu jamaa atafukiwa na udongo, or atawekwa kama makumbusho😇😇😇🤪
Atafukiwa kabisahv huyu jamaa atafukiwa na udongo, or atawekwa kama makumbusho😇😇😇🤪
😂😂😂🤣🤣🤣🤣Siku hizi chumbani huruhusiwi usijechungulia pasipohusikaNiache bwana hivi vitu ni vya kuongelea chumbani sio public hivi. Bahatiyo umeweka kufuri
hv na yeye huwa anavaa barakoa, aua ameanza hv karibun..?
Sijawahi kuona amevaa barakoa kabla.hv na yeye huwa anavaa barakoa, aua ameanza hv karibun..?
Tangu msiba wa Maalim Seif ameonekana akivaa hata msiba wa kijaziSijawahi kuona amevaa barakoa kabla.
Nahisi Leo tu
Hawawezi kukuelewa hao.Tangu msiba wa Maalim Seif ameonekana akivaa hata msiba wa kijazi
Jiwe
Liliibuka enzi za bomoa bomoaNilisahau hili
Sidhani kama kuna lingine
Sawa tumemsamehe, apumzike kwa amani.Lipo ni tingatinga
Liliibuka enzi za bomoa bomoa
Sawa tumemsamehe, apumzike kwa amani.