Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Arsenal hawana fursa ya kusaini mkataba wa kudumu na mchezaji wa Real Madrid anayecheza kwa mkataba wa mkopo Martin Odegaard, 22, , huku klabu hiyo kubwa ya Uhispania ikiwa bado inamuangalia mshambuliaji huyo wa safu ya kati kama sehemu ya mipango yao ya muda mrefu . (Marca - in Spanish)
 
Liverpool wanaangalia uwezekano wa kumleta kikosini mchezaji wa safu ya mbele wa PSV Eindhoven Donyell Malen, licha ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 Mholanzi kusakwa na timu kubwa za Italia Juventus na AC Milan. (Gazzetta Dello Sport via Goal)
 
Hali ya baadaye ya Mkufunzi Zinedine Zidane katika Real Madrid baada ya msimu uliosalia imesalia kutojulikana, huku Shirikisho la soka la Ufaransa likionyesha kumtaka . Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 48-bado ana mkataba na Real Madrid hadi mwaka 2022. (AS)
 
Liverpool wameonyesha nia yao kumuhusu mchezaji wa safu ya mbele Real Betis na Ufaransa Nabil Fekir, ambaye alikaribia kujiunga na Reds mwaka. Hatahivyo, Inter Milan na Rennes pia wanamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 (Estadio Deportivo - in Spanish)
 
Kiungo wa kati-nyuma wa Southampton Jannik Vestergaard, 28, anasema kila mara imekuwa "jambo linalomtia moyo " kuhusishwa na klabu kubwa baada ya ripoti kwamba Tottenham wana nia ya kusaini mkataba na mchezaji huyo wa kimataifa wa Denmark . (Tipsbladet via Daily Echo)
 
Kwa kosa gani? Bomoa bomoa imesaidia sana kuleta bara bara nzuri. Ukitaka maendeleo kuwa na roho ya kipekee
Kupisha maendeleo ni sawa ila kutolipa fidia kwa wahanga ni ukatili! Angazia wamama wajane na mayatima ambao nyumba hizo ama biashara zilikuwa nguzo kwa maisha yao

Kwao wao ni story ingine
 
Like yangu iko wapi coco? Ile bomoa bomoa nyingi aliyoifanya ni kipindi akiwa waziri. Je alikua anajituma yeye?pesa alikua anaidhinisha yeye? Tukianza kumlaumu kwa hapo basi tusikasirike pale anaposifiwa kwa mtandazo wa lami na madaraja wa awamu alipokua waziri

Imenibidi nirudi kutoa like kwanza 😃 nimekua mzembe sana siku hizi!
Ujue bomoa bomoa morogoro road (Kimara), yeye ndo' alikua Rais! NaMnyika akiwa mbunge aliomba kwake LIVE kwa niaba ya wananchi.

Jamaa akasema "FIDIA HAIPO"

Sijasikia watangulizi wake wakitumia kauli kama hizi kwa wananchi, hata kama hawana haki.
 
Back
Top Bottom