myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wa sokoni na dukani
AiseeMshambuliaji wa Inter Milan na Ubelgiji Romelu Lukaku, 27, pia analengwa na meneja wa klabu ya Barcelona Ronald Koeman. (Calcio Mercato)
Imenibidi nirudi kutoa like kwanza 😃 nimekua mzembe sana siku hizi!
Ujue bomoa bomoa morogoro road (Kimara), yeye ndo' alikua Rais! NaMnyika akiwa mbunge aliomba kwake LIVE kwa niaba ya wananchi.
Jamaa akasema "FIDIA HAIPO"
Sijasikia watangulizi wake wakitumia kauli kama hizi kwa wananchi, hata kama hawana haki.