Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijapenda kumwachia huyu mzee bila barakoa na tahadhari zinginezo katika misongamano hii. Yupo 90+ na akiipata tu hakuna cha msalie mtume. Mungu Amlinde!
View attachment 1735118
Mmmh jaman sasa mtu kama hataki utamlazimisha? Ukika na wazee akisema no ni no huwezi mlazimisha ukiogopa kumpandisha presha na mengineyo
 
Angalia kamanda usije ukavuliwa uanachama [emoji16]
IMG_20210326_125815_462.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I am not a prophet of doom but if there is Corona, watu wengi sana wataungana na JPM soon kutokana na hili sekeseke la mazishi. Too many super spreaer events. Watch the next 2-4 weeks!
 
Back
Top Bottom