Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bye bye Mr. President. Until we meet again [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
AiseeMaombolezo View attachment 1734996
Kama ni matokeo ya chanjo mnaweza msiyaone wasipochanja watu wengi iwezekanavyo (at least 75+ ya population).
Timiza wajubu kiongozin wajibu mkuu hata usihofu
Timiza wajibu kiongozin wajibu mkuu hata usihofu
KabisaNa yenyewe waifute kama walivyofuta goli la kifo cha ghafla
"Suddenly death"
Maombolezo yanaendeleaMazishi yanaendelea
MabulaKwa wahenga tu. Mnamkumbuka huyu mwamba hapo katikati? Enzi zake miaka ya 60 mwanzoni na 70 alitamba sana !!!
View attachment 1735192
Mungu atunusuru,I am not a prophet of doom but if there is Corona, watu wengi sana wataungana na JPM soon kutokana na hili sekeseke la mazishi. Too many super spreaer events. Watch the next 2-4 weeks!
Enzi za Power Mabula,Kwa wahenga tu. Mnamkumbuka huyu mwamba hapo katikati? Enzi zake miaka ya 60 mwanzoni na 70 alitamba sana !!!
View attachment 1735192