Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1616702107650.jpg
 
Ona sasa lasti boni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ila kiukweli ukiwa mdogo kutumwa na walio kuzidi umri kulikuwa kunachosha.
Sitasahau nimetoka shule saa saba mchana, nafika nyumbani Anko akanituma nikamnunulie bange mjini, mwendo wa masaa matatu kwenda na kurudi kwa mguu, njaa inauma vibaya mno.
Nilijawa na hasira, nililia njia nzima.

Narudi saa kumi na moja naambiwa nimechelewa kupeleka ng'ombe machungani, akachukua bange lake akaanza kunilundumula mifimbo...

Kiukweli nilipigwa bila kulijua kosa langu halisi, nilipigwa nikiwa nimechoka, nilipigwa nikiwa na njaa.
Nikaanza kuchukia kuishi kijijini.
Hahahahahahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah nimecheka sana aseee.
Namshukuru Mungu sikupitia changamoto hiyo ingawa kwa namna moja au nyingine pia nimeteseka si haba
 
Back
Top Bottom