Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Paris St-Germain ina matumaini kuwa mshambuliaji wa Brazil Neymar, 29, atasaini mkataba wa miaka minne zaidi lakini hatma ya Kylian Mbappe haijulikani. Mkataba wa mshambuliaji huyo wa Ufaransa, 22, unamalizika mwaka 2022. (Marca)
 
Rais wa Real Madrid Florentino Perez inasemekana amekasirishwa na Manchester United baada ya kuingia kwenye kinyanganyiro cha kumsaka mlinzi wa Uhispania Pau Torres, 24. (El Desmarque, via Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…