antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Source ya hii taarifa please
Afu, hizo figures ni Us dollar au 'michuzi' ?
Thanks, nawe pia!juma pili njema
Na kweli nchi imenyoroka kweli kweli
Mbivu na mbichi zote zitajulikana.
Walau kigogo anasaidia kwa sasaMbivu na mbichi zote zitajulikana.
Hii hasara tungeweza kuijua miaka miwili au mitatu nyuma, vile tu serikali iliendesha mambo gizani.
Vyombo vya habari vilikandamizwa vya kutosha.
Tutaona mengi
Tuliwaambia sana juu ya madege haya 🙁
Shame on YOU