Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BERMUDA TRIANGLE jina lililopewa na Vincent H Caddis mwaka 1974,kutokana na maajabu yake eneo hilo pia huitwa DEVIL TRIANGLE ( Pembe tatu ya kishetani) eneo hili linapatikana katika bahari ya Atlantiki pia ni eneo linalotenganisha maeneo matatu kwanza kisiwa cha Bermuda, mji wa Miami Florida na nchi ya puertorico, eneo hilo lina ukubwa wa maili 500000.
Aisee
 
WIM HOF
👉Huyu ni mzungu wa Kwanza mwenye uwezo wa kukaa muda mrefu sana eneo la baridi kali sana bila kupata madhara yoyote yale.Huyu ni mtu halisi anaweza kukaa muda mrefu sana eneo la baridi kali sana.Anazo tuzo 21 za Guinness ikiwemo ya kuoga kwenye maji ya barafu kwa muda mrefu.Huyu anaweza kukaa kilele cha mlima kilimanjaro kifua wazi kwa muda mrefu
Duh...ana damu ya mjusi huyo
 
Back
Top Bottom