Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibuni Dodoma
FB_IMG_1616901684731.jpg
 
Nipo bro.
Nafuatilia report ya CAG hapa.
CAG ameambiwa asiogope kutaja mashirika(na bodi) yasiyoperform.
Huu ndiyo muda unaofaa sasa kumruhusu CAG akague mashirika yote na taasisi zote za uma hata zile ambazo zinaendesha shughuli zake kwa hasara.
Muda kufunika funika mahesabu nyeti kama hayo kwa kisingizio cha Uzalendo umeshapita.
Twende sasa[emoji120][emoji120][emoji120].

Lakini kwema bro
 
Kwema kabisa bro. Sijui pande hizo??

Ila hii report ya ATCL imewezekanaje na shirika lilihamishiwa mfuko maalum(Ikulu)?Au sikuelewa kipindi kile.....
 
Back
Top Bottom