Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WIM HOF
👉Huyu ni mzungu wa Kwanza mwenye uwezo wa kukaa muda mrefu sana eneo la baridi kali sana bila kupata madhara yoyote yale.Huyu ni mtu halisi anaweza kukaa muda mrefu sana eneo la baridi kali sana.Anazo tuzo 21 za Guinness ikiwemo ya kuoga kwenye maji ya barafu kwa muda mrefu.Huyu anaweza kukaa kilele cha mlima kilimanjaro kifua wazi kwa muda mrefu
 
Vita vikiwa vinaendelea Jackie alijaribu kukusanya mawe na kujenga uzio ambao ungemzuia asipatwe na madhara ya vita, kwa bahati mbaya Jackie (tumbili) akiwa anaendelea kujenga uzio wake bomu lilipiga karibu yake jambo ambalo lilimsababishia kupata majeraha ya bega na mguuni
 
Dance.jpg
 
Nguvu hizo za umeme za samaki huyo aina ya Electric eel zinatajwa kuwa kwenye misuli na seli za mwili wake na mara nyingi nguvu hiyo ya umeme huitumia kwajili ya kujihami na maadui na hutumia wakati akitafuta chakula ambapo hutumia nguvu hiyo ya umeme kwajili ya kuwaua viumbe wakiwemo samaki wa kawaida kwajili ya kitoweo.
Dooh
 
Back
Top Bottom