MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Now this is what i call the harbinger of death! 🤣
Telegram
Yafaa nini kumsimamisha mtu kaz hafu unamuacha na pesa zote alizoiba akiwa na utajiri haramu uliokithiri??My classmate in trouble. But he is extremely rich...yaani super rich. Range Rovers kwake ni takataka tu!
Ufisadi ni falsafa yetu jumuishi na mpaka kuuondoa itachukua vizazi kadhaa. Kwa sasa hata aje nani hakuna kitu. Marehemu alipambana sana lakini huwezi kutokomeza falsafa na imani za jamii kwa vitisho na ukali tu. Kubadili mifumo na mawazo ya watu ni kazi ya muda mrefu na itachukua vizazi na vizazi. Inahuzunisha sana na hata kukasirisha...
View attachment 1737097
This woman is a work of art, It's hard to believe she's 40!
Hawa watarudi....
Aiseee kuna ile dirty version yake unaikumbuka ???
Duh...My classmate in trouble. But he is extremely rich...yaani super rich. Range Rovers kwake ni takataka tu!
Ufisadi ni falsafa yetu jumuishi na mpaka kuuondoa itachukua vizazi kadhaa. Kwa sasa hata aje nani hakuna kitu. Marehemu alipambana sana lakini huwezi kutokomeza falsafa na imani za jamii kwa vitisho na ukali tu. Kubadili mifumo na mawazo ya watu ni kazi ya muda mrefu na itachukua vizazi na vizazi. Inahuzunisha sana na hata kukasirisha...
View attachment 1737097
This woman is a work of art, It's hard to believe she's 40!
Seeing No grandma wings in her belly, feasts my eyes with great awe and satisfaction!!!!