Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwako mwalimu Kashasha
FB_IMG_1616957506250.jpg
 
My classmate in trouble. But he is extremely rich...yaani super rich. Range Rovers kwake ni takataka tu!

Ufisadi ni falsafa yetu jumuishi na mpaka kuuondoa itachukua vizazi kadhaa. Kwa sasa hata aje nani hakuna kitu. Marehemu alipambana sana lakini huwezi kutokomeza falsafa na imani za jamii kwa vitisho na ukali tu. Kubadili mifumo na mawazo ya watu ni kazi ya muda mrefu na itachukua vizazi na vizazi. Inahuzunisha sana na hata kukasirisha...
View attachment 1737097
Mkuu umesoma na Mhandisi Deusdedit 🤣 🤣 🤣 ???
 
Futa kesi za hovyo hovyo zinaichafua serikali! Hayo makesi ya uhujumu uchumi yasiyo na maana😀

Mama buana!
Kuna siku Jaji Dr. Mbuki Eliezer Feleshi (Jaji Kiongozi kwasasa) wakati ule ni DPP aliwahi kusema haya:
"Hivi ninyi mawakili wa serikali mnashindwaje kweli kuwashitaki hawa watuhumiwa wakati Penal Code ina makosa zaidi ya 300 ???" Aisee siku ile nilichoka sana! 🤣 🤣 🤣
 
Mama kwa kweli kaanza kwa gia kubwa sana. I hope atabaki hivi.Akiheshimu raia, katiba, Bunge, mahakama, kuongoza kwa haki na uwazi kutuletea katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi basi anaweza kabisa kujizolea sifa nyingi sana si ndani ya Nchi tu bali hata nje ya mipaka yetu.
Futa kesi za hovyo hovyo zinaichafua serikali! Hayo makesi ya uhujumu uchumi yasiyo na maana😀

Mama buana!
 
Back
Top Bottom