Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mama shikamoo...
Usinisahau mi mwanao...
FB_IMG_1616957545455.jpg
 
Yafaa nini kumsimamisha mtu kaz hafu unamuacha na pesa zote alizoiba akiwa na utajiri haramu uliokithiri??
I take this as drama...[emoji22]

The worst part of it ni kwamba yafaa nini kujilimbikizia mali zote hizi wakati kuna watoto wanakufa vijijini kwa kukosa dozi ya malalia ya 3000/=Tsh
Ndiyo shida ya mtu mweusi hii duniani kote. Ubinafsi. Ujinga. Kutojali. Rushwa isiyojali. ...Ndiyo maana hata tukitupiwa maganda ya ndizi huko mi sishangaagi sana. Ndiyo ufisadi upo kila nchi lakini huu wa kwetu huku Afrika bado unaakisi ujima wetu na pengine hata unyama wetu. Haiwezekani uibe $50 millions zilizopangwa kujengea vituo vya afya 100 vijijini halafu ubakie kuwa na furaha we na familia yako kuwa mko wajanja na mmetajirika huku watu uliowaibia wakifa kwa kukosa aspirin. Hata nafsi haikusuti? Ubinadamu wako uko wapi?

Kuhusu kutaifisha mali za mafisadi hawa ni tatizo la kimfumo zaidi. Ni vigumu sana kuthibitisha mahakamani kuwa yupi na yupi ndiye kaiba na hata ukithibitisha bado kuna miongozo ya kisheria itakayokubana. Usipoifuata utaitwa dikteta. Na kwa vile ufisadi huu unagusa kila sekta mpaka madini, utajikuta unapambana na cartels za kimataifa. Ukizubaa wewe ndo utakufa na kuyaacha mafisadi yakidunda. Usifikiri kuwa marais wote hawa Afrika hawana uzalendo. Wengine wazalendo kweli lakini wakiingia tu madarakani wanakuta mfumo unatisha na wanasarenda. Hata tukikupa leo wewe uwe rais utapambana na mifumo hasimu sana na ukivimbisha kichwa utauliwa tu. Kama unabisha kamuulize JPM atakuambia !!!
 
Back
Top Bottom