MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Sema nini, wakianza kumshambulia sana mama, CCM itacheza Female Card!Wanamchora tu hawa.
Lini?Ntatuma usijali kabisa!
Wakati wowote kuanzia sasa!Lini?
Sasahivi wanajidai kumpongeza..Sema nini, wakianza kumshambulia sana mama, CCM itacheza Female Card!
Japo binafsi namuombea sana mama afanikiwe kwenye uongozi wake.
Kumbe nisubiri eeh?Wakati wowote kuanzia sasa!
Hebu tusubiri tuone, muda utasema!Sasahivi wanajidai kumpongeza..
Hawachelewi hawa kuanza kumshambulia.
R.I.P JPM[emoji174]
Hakika.Hebu tusubiri tuone, muda utasema!
Ntakustua dogo, usijali!Kumbe nisubiri eeh?
Mwee!![emoji134]Ntakustua dogo, usijali!
Saa hizi usiku niko naliwaza familia,.....Mwee!![emoji134]
Kumbe si leo?
Utaweka kesho basi[emoji847]Saa hizi usiku niko naliwaza familia,.....
Kesho nikumbushe ntakuwekea!Utaweka kesho basi[emoji847]
Wasalimie sana hapo Iwambi
Sawa[emoji4]Kesho nikumbushe ntakuwekea!