BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Nakubaliana na wewe, na nimekuelewa hasahasa uliposema nchi jirani: Uozo ni mwingi sana kwasababu hakuna uwazi. Lakini nachokisema hapa mimi ni kwamba kwenye madini Acacia na Barrick walikuwa wanatupiga, tena wametupiga sana (katika hili nadhani lazima tukubaliane). Ili kulishinda hili tatizo nadhani kuwepo na uwazi kwenye Extractive Industry nzima.Mkuu narudia tena ngoja tu ninyamaze kuhusu UOZO kule kwenye madini. Tulikuwa tunaibiwa sana na kwenda kufichwa nchi ya jirani 🤐 Jiwe ni dhalimu na dhulmat mkubwa sana kaitendea maovu mengi sana nchi hii tangu awamu ya tatu. Watu wengi tulijua jiwe ni bomu na janga kubwa la Taifa hata kabla ya kuwa nominated kama mgombea wa ccm na kile tulichokidhania tangu July 2015 kaika hii miaka mitano na ushee kimekuwa ni ukweli mtupu.
Naona unamsikilia Ellie Goulding,. 🤣 🤣😂😂😂😂😂😂
Kitu cha Nwa Baby,... 🤣 🤣 🤣
Kitu Nwa Baby,... 🤣 🤣 🤣
Jamani, hayo ni kweli?!!!
Naam, wapo vizuri😂Watasha nao hawataki kuachwa nyuma kwa idara ya kiuno 😂😂😂😂
Mkuu, unachosema ni kweli, ila yeye mwenyewe alisema anajiamini, hapangiwi, (meaning hashauriwi).Katika hili Mzee wangu Magufuli hakushauriwa vizuri ndiyo maana alipoteza pesa nyingi sana. Ukisoma Sheria za Usafirishaji wa anga, mara nyingi mataifa mbalimbali hayanunui kabisa ndege bali huwa yanakodi (Aircraft-Leasing) ili kukwepa gharama. Lakini sasa ukinunua kwa fedha taslimu gharama inakuwa kubwa zaidi kwasababu, unaanza kutengenezewa ndege mpya: Hapa sasa inabidi uanze kulipia chumba (Slot) ambapo ndege hiyo mpya itatengenezewa.
AmenMungu atupe siku njema
HaswaaAlfajiri ingine