Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ubora wa supastaa huyo wa England unawapa Aston Villa uhakika mkubwa kwamba kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa kiangazi kutakuwa na timu kibao zitakazohitaji saini ya mchezaji huyo, hivyo imeweka dau la Pauni 100 milioni kwa makusudi ili kuzuia asiondoke.
 
Grealish amekuwa kwenye kiwango bora huko Villa Park msimu huu na huduma yake imeanza kuhusishwa na timu nyingi ikiwamo mahasimu wa Manchester, Manchester City na Manchester United.
 
Kutokana na klabu nyingi kukabiliwa na hali mbaya ya uchumi iliyotokana na janga la virusi vya corona, kwa bei hiyo ya Pauni 100 milioni inaweka ugumu mkubwa kw Grealish kupata timu ya kucheza mwisho wa msimu kwa maana ya ghamara za kupata saini yake kuwa kubwa na uchumi wa klabu za Ulaya umekaba.
 
Huo ni wakati ambao wakala Mino Raiola alidai kwamba mteja wake hana tena mpango wa kuendelea kukipiga Old Trafford na Real Madrid au Juventus ndiko atakokwenda baada ya hapo.
 
Kwa kipindi hicho, Man United ilihitaji ilirudishe mkwanja wa Pauni 89 milioni waliolipa 2016 kunasa saini yake, hivyo mnunuzi alikosekana mwenye pesa ndefu, ambapo walitaka walipwe mkwanja usiopungua Pauni 150 milioni, hivyo Pogba akabaki Old Trafford
 
Katika kuelekea dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi, Pogba anatajwa kuwa mmoja wa wachezaji ambao huenda wakauzwa kama hatakubali kusaini dili jipya Man United, lakini kwa corona hii kuna timu yenye pesa nyingi ya kumsajili staa huyo? Shida sio ada tu, kuwa na huduma ya Pogba kwenye kikosi chako hata mshahara wake pia ni mkubwa.
 
HATIMA ya fowadi supastaa wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe bado haeleweki kwenye kikosi hicho licha ya swahiba na pacha wake wa uwanjani, Neymar kutarajia kubaki kwenye timu hiyo kwa kusaini dili jipya.
 
Wakali hao wawili wote mikataba yao kwenye kikosi cha PSG itafika tamati mwaka 2022 na Neymar anaripotiwa kuwa kwenye hatua za mwisho za makubaliano ya kusaini mkataba wa miaka minne ya kuendelea kukipiga kwenye kikosi hicho cha kocha Mauricio Pochettino hadi mwishoni mwa msimu wa 2025-26.
 
Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa juu ya hatima ya Mbappe, ambapo mshambuliaji huyo wa zamani wa AS Monaco ameonekana kutoa nafasi kubwa kwenye mpango wa kutimkia Real Madrid wakati dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi litakapofunguliwa.
 
Kwa mujibu wa Marca, uhusiano mzuri uliopo baina ya Mbappe na Neymar umewafanya kuwa na wakati mzuri ndani ya uwanja na kuamini kwamba wataendelea kucheza pamoja kwa miaka mingi, lakini sasa staa huyo wa Mfaransa haonekani kama yupo tayari kuendelea kucheza soka Paris kwa mwaka mwingine zaidi.
 
Kuna ripoti inayodai kwamba pesa si kitu kitakachoweza kumshawishi Mbappe, baada ya mshambuliaji huyo mshindi wa Kombe la Dunia kugomea kusaini mkataba mpya huko Parc des Princes hadi sasa, huku PSG wakipiga hesabu za kumfungulia mlango wa kutokea mwishoni mwa msimu huu kama atagoma kusaini dili jipya ili wapate pesa kuliko kumpoteza bure mwakani
 
Mbappe amefunga mabao 30 katika mechi 36 alizochezea PSG msimu huu na ataendelea kung’ara kwenye kikosi cha timu yake ya taifa ya Ufaransa, ambayo jana Jumapili ilitarajia kumenyana na Kazakhstan kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022.
 
She said she likes sex and sex is GREAT, and it is very difficult to stay away from something GREAT. I don’t think she is promiscuous but maybe her reality force her to act that way. Some men run away from beautiful and successful women.
Dude, a mere admission of her getting humped and dumped by one guy after the other adds volume to my diction.
She's kinda promiscuous out of desperation, High Quality men are always attracted by successful and beautiful women, and this is a fact: Prosperous women improve man's image and inflate their ego, so it's hard to run away from them unless you view them as cheap and promiscuous.

The problem starts when you easily allow every Pooky and Rayray to get into your panties believing there there to stay. Mwanamke hata uwe mzuri na msomi kivipi, kuna wahuni hutakiwi kuwavulia chupi kirahisi rahisi, just because SEX IS GREAT and you are in dire need of a relationship. Thamani yako itashuka tu (This is a sad truth)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…