D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nimerudi nyuma, bado naendelea kurudi nyuma.Babu urojo kweli ni kaoga corona si imehamia sauzi...mimi nimeambulia drama moja tu mpaka sasa
hizi za 2021 hazijanikalia sawa, labda ulimi wangu ushachoshwa na ladha za kisasa