Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hili la msiba letu sote kama lilee la Maalim. Tuwaombee marehemu wapunguziwe adhabu ya kaburi
juzi moja nilifanya kampeni ya kuziangalia video za marehemu pale youtube (alipokuwa hai sikuwahi kuangalia hotuba yake au ziara yake hata moja).

Yapo mambo mengi yalionivutia kutoka kwake, nilibaki kujilaumu kwa nini huyu mja aliyeondoka sikumfuatilia mapema.

Magufuli alimpenda sana mke wake na mama alimpenda sana magufuli tofauti na kelele tunazoimbishwa mitandaoni, si ajabu yule mama alikuwa analia sana wakati wa kuagwa kwa marehemu (sitaki kuamini ya kwamba kile ni kilio cha unafiki)
==================
magufuli : nitachangia milioni 5 cash, ngoja nimtoe mke wangu na yeye aje achangie hapa
mama janeth: CCM oyeeeee huku anacheka, mimi nitachangia millioni 1 tena hizi hapaa
 
Niliangalia nsyuka na saladini hizi nyingine sikuangalia au labda niliziona nimesahau. Kuna tamthilia ya wakenya inaitwa tausi kulikua na kipande cha mzimu unampa kash kash mwanadada mmoja aliyekua anatesa mtoto. Kila kikifika hicho kipande moyo unapiga sarakasi kali mno utoto raha
dah! tausi na wimbo wetu wa baba na mama
kalimanzila, tausi sikua naiangalia kwa sababu ya muda, huwezi kuniweka kwenye tv saa 11 jioni, na usiku sikuruhusiwa kuangalia tv (mwisho saa 2 usiku)
saa 11 huo ulikuwa ni muda wa kucheza mpira
 
Duh basi ile ilikua saa tatu kamili usiku mtaa mzima kimyaaaaa unasikia tu sauti za tv mbali mbali wimbo wa tausi ukitamba,muda wa tangazo ndo mnapata kuongea mawili matatu na kaubishi ka hapa na pale. Uwiii hlikosa uhondo😂😂😂
 
ile tamthilia ilipendwa sana kipindi kile.
bongo ilikuwepo kidedea.
kuna binti aliitwa TABIA
 
Back
Top Bottom