Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

babu andjul ipo nyengine inaitwa The Neighborhood
sijui hawa wahusika wamo kwenye hiyo drama ulioikusudia?
au ndio na wewe huwatambui wachina kwa sura zao
1617139720624.png
 
zipo nyengine mpaka nahama umri wa baleghe nilishindwa kuziangalia.
  1. safari
  2. mzee wa busara
  3. shumileta (hii niliangalia nikiwa tayari nishavuka miaka 22)
  4. nyengine nishazisahau zenye maudhui ya kutisha
Niliangalia nsyuka na saladini hizi nyingine sikuangalia au labda niliziona nimesahau. Kuna tamthilia ya wakenya inaitwa tausi kulikua na kipande cha mzimu unampa kash kash mwanadada mmoja aliyekua anatesa mtoto. Kila kikifika hicho kipande moyo unapiga sarakasi kali mno utoto raha
 
Back
Top Bottom