Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika, Mungu azidi kumjaalia afya njema na yaliyo mema katika kipindi hiki cha machweo kwake[emoji120]

Mungu husikia maombi yako, tumekuwa na afya njema. Kukudhihirishia hilo ni kwamba tayari nimesha rudi kijijini.

Kuna sehemu nilikuona unaongelea mwezi June au July huko... Nikajisemeaa tu "hiiii lishemeji lyane linakuja"
Nipo busy kukuandalia maviazi na maboga.
Tumtangulize Mungu ili tuyawazayo na kuyapanga yakapate kibali cha kutimia [emoji120]

Tayari wameanza kulegeza mambo. Tuombe uzima tu kwa kweli [emoji1545][emoji1545]
20210330_102337.jpg

20210330_102345.jpg
 
Anawaza kwa makini.
Unajua huyu bro alipokuwa muhadhiri UDSM alikuwa mkosoaji mkubwa wa wanasiasa na watumishi wengine wa uma, sasa ni zamu yake kupopolewa.
Inaonyesha hapendezwi na tuhuma anazobebeshwa lakini hana namna
Huyu haaminiki maana alikuwa katibu mkuu wa chama kipindi cha ile biashara pendwa, haramu ya ununuaji wa binadamu.. i.e madiwani + wabunge
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mama kuna clip yake wameichezea anauliza mko wapi vijana wanaibuka tupo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona siwaoni wanajibu tunaosha vyombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]nina hamu kuiona Anko.
 
Babu Anko Daemusin umejileta mwenyewe. Shikamoo nimesha ipokea kwa tashwishi tele.
Naomba urejee utajwa wa huko nyuma. Chonde naomba uifanye hiyo kazi.
kunisalimia kwako (shikamoo) hakuondoi ukweli ya kwamba wewe ni babu bomba.
poleni na msiba, japokuwa na sisi watuhusu ila hatujawazidi nyinyi wazee wa mrima.

babu waendeleaje?
bibi hajambo?
mjukuuu aliyezaliwa jana na leo naye hajamboooooo
 
Back
Top Bottom