Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo tajiri wa mali,Mungu kamjaalia hekima na maono. Anaihangaikia Tanzania kuliko hata anavyo hangaikia maisha yake binafsi.

Kwakuwa hana muda wa kujiandalia maisha yake,Serikali ingemjengea hata nyumba ya kawaida moja mjini kama kumbukumbu,anaipenda Tanzania kuliko hata mapenzi aliyo kuwa nayo Mwalim Nyerere kwa nchi yake.

Ile nafasi ya wasio...kwa wanaoj...ipo mahali pake.
Li inji likubwa hili mwee...
Maisha marefu mzee wetu [emoji120]



Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ndiye muumini pekee wa siasa na itikadi za Mwalimu Nyerere aliyebakia. Mungu Aendelee kumlinda na kumbariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

We na Kabula wangu mkoje lakini? Mmepona sawa sawa? Mungu Aendelee kuwalinda. Kabula mwambie liugali likubwa na mabele maliboto yananihusu miye siku nikiwatembelea.
 
CCM Oyeee
FB_IMG_1617085320146.jpg
 
Nadhani ndiye muumini pekee wa siasa na itikadi za Mwalimu Nyerere aliyebakia. Mungu Aendelee kumlinda na kumbariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

We na Kabula wangu mkoje lakini? Mmepona sawa sawa? Mungu Aendelee kuwalinda. Kabula mwambie liugali likubwa na mabele maliboto yananihusu miye siku nikiwatembelea.
Hakika, Mungu azidi kumjaalia afya njema na yaliyo mema katika kipindi hiki cha machweo kwake[emoji120]

Mungu husikia maombi yako, tumekuwa na afya njema. Kukudhihirishia hilo ni kwamba tayari nimesha rudi kijijini.

Kuna sehemu nilikuona unaongelea mwezi June au July huko... Nikajisemeaa tu "hiiii lishemeji lyane linakuja"
Nipo busy kukuandalia maviazi na maboga.
Tumtangulize Mungu ili tuyawazayo na kuyapanga yakapate kibali cha kutimia [emoji120]
 
Back
Top Bottom