Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
IMG-20210330-WA0043.jpg
 
Huyu mzee ni hazina ya taifa. Hajawahi kuniangusha [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 1738856
Siyo tajiri wa mali,Mungu kamjaalia hekima na maono. Anaihangaikia Tanzania kuliko hata anavyo hangaikia maisha yake binafsi.

Kwakuwa hana muda wa kujiandalia maisha yake,Serikali ingemjengea hata nyumba ya kawaida moja mjini kama kumbukumbu,anaipenda Tanzania kuliko hata mapenzi aliyo kuwa nayo Mwalim Nyerere kwa nchi yake.

Ile nafasi ya wasio...kwa wanaoj...ipo mahali pake.
Li inji likubwa hili mwee...
Maisha marefu mzee wetu [emoji120]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
"DHARAU BWANA NOMA"
Jamaa mmoja alimpa Fedha Mkewe akanunue nguo za kuvaa MWAKA MPYA
Mwanamke huyo alinunua Khanga Pea (5) Kila moja na maandishi tofauti:

1. NAFASI IPO USIHOFU

2. KULA VITU KWA RAHA MWENYE NAVYO KAJISAHAU

3. HERI NIMPE JIRANI KULIKO KUACHA KITU KIOZEE NDANI

4. NIPE UTAMU NITOE HAMU MPAKA ANYWE SUMU

5. MWENYE NCHI YUPO, LAKINI MADINI YANACHIMBWA NA WAGENI KILA KUKICHA.
Wanawake bwana ni kisanga sana !!
Doooh!!
Jamaa hana mke hapo. Hilo ni danga sugu🙄
 
Back
Top Bottom