myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni mliotoka kazini
Aisee,...AGUERO ANAONDOKA MAN CITY _ Man City wamethibitisha kwamba Mshambuliaji wao Raia wa Argentina Sergio Aguero (32) ataondoka Man City mwishoni mwa msimu huu baada ya mkataba wake kuisha akiwa ameichezea Timu hiyo kwa miaka 10.