MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
DuhKwa mujibu wa Marca, uhusiano mzuri uliopo baina ya Mbappe na Neymar umewafanya kuwa na wakati mzuri ndani ya uwanja na kuamini kwamba wataendelea kucheza pamoja kwa miaka mingi, lakini sasa staa huyo wa Mfaransa haonekani kama yupo tayari kuendelea kucheza soka Paris kwa mwaka mwingine zaidi.
Amechanganya mambo.. stress hiyo, hana hakika na kibarua kuwa endelevuGerson Msigwa kachemka!
Msonde alikuwa Baraza la Mitihani
Kweli ila elimu hii wengi wao hawanagaMwanamke hata uwe mzuri na msomi kivipi, kuna wahuni hutakiwi kuwavulia chupi kirahisi rahisi, just because SEX IS GREAT and you are in dire need of a relationship. Thamani yako itashuka tu (This is a sad truth)