Dakika tano tu za kuwa karibu na mwanamke anaevutia huongeza kiwango cha homoni ya Cortisol. Homoni hiyo huzalishwa na mwili pale unapokua na wasiwasi au msongo wa mawazo, Homoni hiyo huhusishwa pia na maradhi ya moyo.
Ukiweka kelele kidogo kwa mtoto anaelia anaweza kuanza kutulia kwa sababu atahisi kama amerudi tumboni. Tumboni huwa kuna kelele ambayo amezizoea na zilimfanya atulie na sasa baada ya kuzaliwa huwa bado wanapenda zile kelele.
Filamu zenye mahadhi ya kutisha (Horror) ndizo zinaongoza kwa kuwa na uhusika wa wanawake wengi zaidi na ndiyo pia huongoza kwa kua wazungumzaji zaidi kwenye Filamu.
Asilimia 94% ya Wanaume miaka kuanzia 25-29 wamewahi kujichua (punyeto) huku Wanawake asilimia 84% nao Pia wamewahi kujichua kwa wastani wa miaka hiyo hiyo 25-29
Tafiti: Wanaume ambao wapo Singo hutazama video za ngono wastani wa mara 03 kwa wiki kwa dakika 40, Wanaume ambao wapo kwenye mahusiano hutazama mara 1.7 kwa wiki kwa wastani wa dakika 20 tu.
More than one million people died in East Africa during World War One. Some soldiers were forced to fight members of their own families on the battlefield because of the way borders were drawn up by European colonial powers, writes Oswald Masebo.
Huko juu Angani kuna utajiri mkubwa sana ambao hauwezi hata kufikiria,, Unaambiwa kila jiwe kubwa lizungukalo huko juu angani(Asteroid) lina jumla ya madini tofauti tofauti ambayo yana thamani kubwa huku duniani.... Kuna mabillion ya mawe makubwa na madogo katika mfumo wetu wa jua pekee lakini leo naomba tuzungumzie Jiwe moja kubwa lililopo katikati ya sayari ya mars na Jupiter liitwalo Asteroid '16 Psyche
jiwe hili lina ukuwa wa kipenyo cha 200km na limeweza kunasa akili za watu wengi maana ni jiwe kubwa lililoundwa kwa madini tofauti tofauti ambayo kwa asilimia kubwa ni dhahabu na plutnum ambayo mfano ukiweza kuchimba na kuyauza basi thamani yake itafikia dollar 700 Quintillion, hiyo ni pesa kubwa sana kiasi kwamba kama kila mtu duniani akigawiwa kiasi sawa basi kila mtu atapata dollar billion 93.
Katika hali ya kuendelea kuchunguza Jiwe hili kubwa, Nasa ikishirikiana Space X wanategemea kutuma chombo chao katika jiwe hili mwaka 2022 ili kikachunguze vitu mbalimbali na kuona kama labda kuna madini mengine zaidi mfano Almas na kadhalika. Mabillionaire mbalimbali wanazondoto za kwenda kuchimba madini katika Jiwe hili kubwa japokua itachukua miaka mingi hadi kutimiza ndoto hiyo kutokana na teknolojia ndogo tulionayo kwa sasa japokua bado maboresho yanaendelea.
Hakuna mtu anaemiliki Asteroid au sayari yoyote huko juu angani kwahiyo mtu yoyote anaruhusiwa kwenda katika jiwe lolote huko angani ilimradi tu uwe umetengeneza chombo bora kitakachoweza kukufikisha huko salama na kukurudisha salama pamoja na vifaa muhimu watakavyo kuwezesha kutimiza ndoto yako.... kwahiyo kama unaweza, tengeneza chombo chako bora uende katika Asteroid 16 Psyche ukachimbe Dhahabu uje uwe Trillionaire wa kwanza Dunia
Ukizungumzia kuhusu suala la teknolojia basi huwezi kumsahau mtu mmoja aitwae Nikola Tesla akihusika kutengeneza zaidi asilimia nyingi za teknolojia ya sasa.
Tesla tangu akiwa mdogo alikua na maajabu ya kushangaza maana hata zile hesabu za Integral Calculus ambazo kama uliendelea kusoma Mathematics zaidi utakua unajua jinsi zilivyokua zina watoa watu jasho
sasa yeye alikua anazisolve kwa kufikiria kwa kutumia kichwa tu kwa sekunde chache bila kugusa kalam wala calculator kitendo kilichosababisha waalimu kumchapa viboko wakisema eti anaibia.
Tesla ametengeneza vitu vingi mfano umeme wa Ac, Ac motors, Remote control, Wireless system,Tesla coil na vingine vingii,, Idea zake zingine hata hakuzifanyia kazi hadi watu kama Elon musk wakazitumia na kuwa maBillionaire wa dunia.
siri yake kubwa ya ugunduzi wa vitu vingi kama anavyosema yeye ni kwamba alikua anauwezo wa kudesgn kitu chochote alichokua anaplan ya kukitengeneza akiwa ndotoni amelala,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.