Vipo vitabu vitakatifu tunavyo viamini sana....., vipi kama maneno ya vitabu hivyo yamebadilishwa toka muda?, Vipi kama kuna maneno mengi mengi yameongezwa katika vitabu hivyo ili tuendelee kuwa wajinga?, vipi kama kuna siri nyingi na kurasa nyingi zilizoondolewa katika vitabu hivyo ili wazitumie watu wachache?, vipi kama majibu ya maswali mengi yalikua katika vitabu hivi yakaondolewa na kuwekwa majibu mepesi tu ili tusifikirie?, na kwanini watu weupe wanaonekana bora katika vitabu hivi na sisi weusi hata hatuzungumziwi?, Najaribu kufikiria tu japokua kuna vitisho vikali vimewekwa katika vitabu hivi ili tusifikirie kabisa na sitaki kuzungumzia sana maana kuna watu wana imani kalii lakini jaribu kujifikiria mwenyewe siku moja utajijua wewe ni kiumbe mwenye uwezo mkubwa na wa tofauti na jinsi ulivyokua umeaminishwa.