Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee
 
Unapata wapi hizi nondo, tena katika Kiswahili hivi? Napenda sana haya mambo na kuyasoma katika Kiswahili hivi inavutia sana.
 
Kama hivyo hata kama ningekuwa mimi ningekutupa kwenye iginoa listi tu ukapumzike huko [emoji16][emoji16][emoji16]

Siku ile kwenye uzi wako hatimaye ulijibiwa na mhusika? Nilichoka kufuatilia...
Nina majonzi hapa mkuu, muhusika hajawahi kujibu mpaka hivi tunavyoongea, alinitoa kwenye ignore list ila PM yake imefungwa kabisaa, nimejaribu mara kadhaa lakini amefunga, kikichonistua leo nimejaribu kumchungulia naona ana bango la banned, napata mashaka nahisi labda ameamua kuwaomba mods wafunge accout yake moja kwa moja maana nimefuatilia posts zake za miezi miwili iliyopita sijaona kama ameandika jambo lolote linalopelekea yeye kuwa banned,nimejikuta nawaza sana halafu nakosa raha

Au pengine ule uzi ukimkasirisha kiasi kwamba ameamua kuondoka JF moja kwa moja?
 
Kama hivyo hata kama ningekuwa mimi ningekutupa kwenye iginoa listi tu ukapumzike huko [emoji16][emoji16][emoji16]

Siku ile kwenye uzi wako hatimaye ulijibiwa na mhusika? Nilichoka kufuatilia...
Acha habari zako mkuu, ngoja na wewe nianze kuwakutanisha mabebez zako hapa, lengo ni kukufanya usiwe na raha kabisa, maana wakiona ninewakutanisha hapa watakushambulia huko pm mpaka utajuta[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…