Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Vipo vitabu vitakatifu tunavyo viamini sana....., vipi kama maneno ya vitabu hivyo yamebadilishwa toka muda?, Vipi kama kuna maneno mengi mengi yameongezwa katika vitabu hivyo ili tuendelee kuwa wajinga?, vipi kama kuna siri nyingi na kurasa nyingi zilizoondolewa katika vitabu hivyo ili wazitumie watu wachache?, vipi kama majibu ya maswali mengi yalikua katika vitabu hivi yakaondolewa na kuwekwa majibu mepesi tu ili tusifikirie?, na kwanini watu weupe wanaonekana bora katika vitabu hivi na sisi weusi hata hatuzungumziwi?, Najaribu kufikiria tu japokua kuna vitisho vikali vimewekwa katika vitabu hivi ili tusifikirie kabisa na sitaki kuzungumzia sana maana kuna watu wana imani kalii lakini jaribu kujifikiria mwenyewe siku moja utajijua wewe ni kiumbe mwenye uwezo mkubwa na wa tofauti na jinsi ulivyokua umeaminishwa.
Nitafurahi zaidi kama hayo ni mambo yakuumizayo kichwa,namaanisha usiwe umenukuu sehemu.
Mimi yapo yanayo nitesa sana ila pa kuyaongelea hapapo.
 
1617210209912.jpeg
 
Ila huyu maza ni hatari, hivi unajua Liberata alifukuzwa vibaya sana na Raisi Magufuli pale Foreign Affairs ???
Halafu yeye ndiye alikuwa mmoja kati ya wataalamu wa siasa za maziwa makuu (She's a beast) hapa nchini.
Lakini naona sasa amerudishwa, tena this time amekuwa waziri kabisa, haya sisi ni watazamaji tu.
Balozi Katanga naye karudishwa, yaani dunia inaenda kasi sanaaa sanaaaa.
 
Namfahamu huyo Mama kwa karibu tu ni mtu poa sana na utendaji wake umetukukuka pia sijawahi kusikia wale wanaomfahamu kumzungumzia vibaya.
Ila huyu maza ni hatari, hivi unajua Liberata alifukuzwa vibaya sana na Raisi Magufuli pale Foreign Affairs ???
Halafu yeye ndiye alikuwa mmoja kati ya wataalamu wa siasa za maziwa makuu (She's a beast) hapa nchini.
Lakini naona sasa amerudishwa, tena this time amekuwa waziri kabisa, sisi ni watazamaji tu.
 
Back
Top Bottom