Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pole sana mkuu. We endelea tu kupambana. You never know...Nina majonzi hapa mkuu, muhusika hajawahi kujibu mpaka hivi tunavyoongea, alinitoa kwenye ignore list ila PM yake imefungwa kabisaa, nimejaribu mara kadhaa lakini amefunga, kikichonistua leo nimejaribu kumchungulia naona ana bango la banned, napata mashaka nahisi labda ameamua kuwaomba mods wafunge accout yake moja kwa moja maana nimefuatilia posts zake za miezi miwili iliyopita sijaona kama ameandika jambo lolote linalopelekea yeye kuwa banned,nimejikuta nawaza sana halafu nakosa raha
Au pengine ule uzi ukimkasirisha kiasi kwamba ameamua kuondoka JF moja kwa moja?
PM yangu ilishafungwa. Watagombana hapa hapa hadharani tu. Na hii itanisaidia kujua yupi ana busara na yupi hana...[emoji16][emoji16][emoji16]Acha habari zako mkuu, ngoja na wewe nianze kuwakutanisha mabebez zako hapa, lengo ni kukufanya usiwe na raha kabisa, maana wakiona ninewakutanisha hapa watakushambulia huko pm mpaka utajuta[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimefatilia comments zake tangu asubuhi mkuu,kwa siku za karibuni hakua msemaji sana ni kama alianza kujitoa JF, tena kwenye siasa sijaona chochote alichosema zaidi sana alisema anashindwa kuvivaa viatu vya mama Janeth na kwamba tumwombee yeye na familia, ingine niliona amesema hakuwa shabiki wa magu ila ameumia sana kusikia msiba wakePole sana mkuu. We endelea tu kupambana. You never know...
Kama ni ban pengine yatakuwa ni haya mambo ya siasa kwa huwa hatukani na hana lugha ya ukakasi wala malumbano ya kijinga. Si shabiki sana wa marehemu na pengine kuna mahali kasema kitu mods wakapita naye...
Hahaha sawa mkuu, ngoa tuwasubiri hapaPM yangu ilishafungwa. Watagombana hapa hapa hadharani tu. Na hii itanisaidia kujua yupi ana busara na yupi hana...[emoji16][emoji16][emoji16]
Ni mtu wa Mungu sana aliyejaa upendo; na sishangai kuona kuwa ameshasamehe. Ndivyo mafundisho ya kweli ya Neno la Mungu yanavyotuamvia - kwamba tuwasamehe na kuwaombea hata ambao hatuwapendi.Nimefatilia comments zake tangu asubuhi mkuu,kwa siku za karibuni hakua msemaji sana ni kama alianza kujitoa JF, tena kwenye siasa sijaona chochote alichosema zaidi sana alisema anashindwa kuvivaa viatu vya mama Janeth na kwamba tumwombee yeye na familia, ingine niliona amesema hakuwa shabiki wa magu ila ameumia sana kusikia msiba wake
Kwa kifupi bado sijaona kama amekua banned for any reason, my mind rells me kwamba ameondoka JF
Sawa mkuu ila bado hujanishawishi, there is guilt inside me, nina uhakika ule uzi ulimkwaza sana na ameamua moja kwa moja kuondoka hapa, Mungu anisamehe tu kwa kumkwaza kiumbe wakeNi mtu wa Mungu sana aliyejaa upendo; na sishangai kuona kuwa ameshasamehe. Ndivyo mafundisho ya kweli ya Neno la Mungu yanavyotuamvia - kwamba tuwasamehe na kuwaombea hata ambao hatuwapendi.
Jipe muda na utajua tu kinachoendelea. Yawezekana pia akawa anapita katika misukosuko ya kimaisha (jambo la kawaida kwetu sote). Mtie katika maombi yako yeye pamoja na familia yake [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwani ulipouanzisha we ulikuwa unafikiria nini? Kwamba atafurahia sana kuwa kaanzishiwa uzi JF ama? Tena mtu mwenye heshima kubwa na msiri vile? Ulichemka [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Sawa mkuu ila bado hujanishawishi, there is guilt inside me, nina uhakika ule uzi ulimkwaza sana na ameamua moja kwa moja kuondoka hapa, Mungu anisamehe tu kwa kumkwaza kiumbe wake
Baadae niliwaomba mods waufunge ule uzi, ila kwa kweli lengo la uzi lilikua kuwatakia hawa m crush siku njema ya wanawake unfortunately uzi uligeuka kumjadili muhusika jambo ambalo hata mimi sikulifurahiaKwani ulipouanzisha we ulikuwa unafikiria nini? Kwamba atafurahia sana kuwa kaanzishiwa uzi JF ama? Tena mtu mwenye heshima kubwa na msiri vile? Ulichemka [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Mungu awarehemu hawa wazee wtu[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1739558
Kumbe unapenda kucha mkuu, mimi nilijua unapenda manyama na misambwanda tu
Huwa nagoogle fahamu zaidi zinakuja toleo mbali mbali nachagua ya facebook. Ngoja nikuletee link ya hukoUnapata wapi hizi nondo, tena katika Kiswahili hivi? Napenda sana haya mambo na kuyasoma katika Kiswahili hivi inavutia sana.
https://www.facebook.com/Unapata wapi hizi nondo, tena katika Kiswahili hivi? Napenda sana haya mambo na kuyasoma katika Kiswahili hivi inavutia sana.