antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Aysee. Kwa hiyo viumbe hai ku survive huko ni hakuna namna🙄Atmospheric pressure katika sayari ya Venus 93 bar,, yani ukiwa katika sayari hii, pressure utakayoisikia ni sawa na jinsi unavyojisikia ukiwa chini kabisa ya bahari, kwa pressure kama hii ukijaribu kukanyaga mguu wako katika sayari ya venus, mwili wako utavunjwa vipande vipande ndio maana hata jiwe lolote kubwa(Asteroid) likijaribu kutua katika sayari ya Venus litavunjwa vunjwa vipande kabla hata halijatua..