antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Aysee. Kwa hiyo viumbe hai ku survive huko ni hakuna namna🙄Atmospheric pressure katika sayari ya Venus 93 bar,, yani ukiwa katika sayari hii, pressure utakayoisikia ni sawa na jinsi unavyojisikia ukiwa chini kabisa ya bahari, kwa pressure kama hii ukijaribu kukanyaga mguu wako katika sayari ya venus, mwili wako utavunjwa vipande vipande ndio maana hata jiwe lolote kubwa(Asteroid) likijaribu kutua katika sayari ya Venus litavunjwa vunjwa vipande kabla hata halijatua..
DuhHewa inayopatikana katika sayari ya Venus ni 96%Carbon dioxide,, pia mvua inayonyesha ni mvua ya Sulfuric acid, hii acid ni hatari sana,
kama unaijua nadhani utakua unanielewa maana kwanza inaweza kukutoboa ngozi, macho, pua na kila kitu na inanuka zaidi ya yai viza.
Doh.. unageuka majivu ndani ya sekunde mojaKwanza sayari ya Venus ndio sayari yenye joto zaidi ya sayari nyingine yoyote kwenye mfumo wetu wa jua, Joto lake linafikia mpaka 464°C... sasa joto hili linaweza kukuchoma kama mishikaki, maana kumbuka maji yanachemka kwa nyuzi joto 100°C tu, pia kumbuka chuma kinachofahamika kwa jina 'Lead' kinayeyuka kwa 300°C tu... fikiria sasa joto hili litaufanyaje mwili wako wewe.
😂😂😂Muda mwingine sayari ya Venus wanaiita dada yake dunia sababu ina ukubwa na uzito unaokaribiana na sayari yetu ya dunia, pia wananaiita hivyo sababu umbali wake hadi kwenye jua huatofautiani sana na umbali toka duniani hadi kwenye jua.... sasa usije kusikia kua Venus ni dada yake dunia na wewe ukapanga safari ya kwenda huko,, Yani utaona moto..
OkayUkitoa Mwezi wetu, Venus ndio kitu kinachong'aa zaidi katika anga la dunia na ndio maana wengine hua wanaiita nyota ya asubuhi.
Kwa joto lile?Licha ya mazingira hayo magumu katika sayari ya Venus,, wanasayansi wanatuambia kua kuna viumbe wanaishi katika sayari hii.
Ahaa, okaysasa hii gesi inasemekana kuna bacteria wasioonekana kwa macho ambao hawatumii Oxygen hua wanaishi katika gesi hii na kwa sababu gesi hii ipo katika sayari ya Venus huenda sasa bacteria hawa wapo wanaishi ndani ya gesi hii au huenda wenyewe ndio wanaitengeneza..
Really?!Ukiwa hapa duniani unaweza kupiga kelele yoyote ile na kila mtu akakusikia mfano 🗣Mkaa! 🗣Mkaa!.... Lakini je wajua kua ukiwa angani nje ya hii dunia yetu, hata upige kelele vipi sauti yako haiwezi kufika popote pale hata rafiki yako ambae anaweza kua pembeni yako hata kusikia.
Kumbe!Wanaanga waliopo katika Satellite(ISS) huko nje ya dunia huwa wana kifaa maalum kwenye Helmets zao ili pindi wanapotoka nje ya chombo chao waweze kuwasiliana na kusikilizana
Ahaa... Hapo sawa mkuuMwanaanga mmoja akiongea hicho kifaa katika Helmet yake kinabadilisha sauti kuwa katika mawimbi ya redio na kuyasafirisha mpaka kwa mwanaanga mwenzake ambae nae anakifaa ndani ya Helmet yake kwa ajiri ya kuyapokea mawimbi hayo na kuyabadilisha kuwa sauti.
AyseeNB: Mawimbi ya Radio (Radio signal) yanasafiri popote pale bila kujari medium yoyote.
SanaJF hivi mpo kweli
HaswaaTupo mkuu tunatafakari maamuzi ya mh wetu
Biashara ya binadamu🙄
KweliNaam. Alikuwa balozi wetu huko Marekani huyu na ni mbobezi wa mambo ya kimataifa. Good choice!
A/salaamAsalaam Alyeikum