Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mshambuliaji Sergio Aguero, 32, atakuwa "bora" zaidi kusajiliwa Juventus na huenda mchezo wake ukafikia kiwango cha mchezaji mwenzake aliyekuwa Manchester City na wa Argentina Carlos Tevez huko Turin, amesema Juve great Franco Causio. (Gazzetta Dello Sport, via Goal)