Manchester United iko tayari kutoa ofa kwa kiungo wa kati, raia wa Uholanzi, 23, Donny van de Beek ya kumuuza Juventus kama sehemu ya makubaliano ya mabadilishano ya kumsajili mchezaji wa kimataifa raia wa Ufaransa Adrien Rabiot, 25. (Tuttosport, via Express)